Acha upumbavu. Meli inatoka China na kufika Dar Port ndani ya siku 28 ila hadi upate mzigo ongeza siku zingine zisizopungua 21. Mzigo wangu wa mwisho meli ilifika tarehe 16/07/2024 na nimepata tarehe 8/08/2024. Na hao ni Silent Ocean. Je, makampuni mengine madogo si ndo balaa? DP World wapambane kuboresha huduma na sio kutaka sifa ambazo hawana.[*]A reduction in waiting time for General Cargo vessels from over 35 days to less than 7
Fuatilia utaratibu wao ufahamu wanaajiri namna gani ndipo uanze kuchukua hatua rafiki.Natafuta Kibarua DP world
Sawa mkuu sina ata connection uko aiseeFuatilia utaratibu wao ufahamu wanaajiri namna gani ndipo uanze kuchukua hatua rafiki.
Oh ! Okay..Sawa mkuu sina ata connection uko aisee
Nimekujibu PM mkuuOh ! Okay..
Nini haswa kilichokuvutia huko DP world ?
Oh! PM yangu haifanyi kazi rafikiNimekujibu PM mkuu
Oooh sawa rafikiOh! PM yangu haifanyi kazi rafiki