GE2025 Doyo: Mama yangu kukamatwa na polisi kisa kodi kumenipelekea niingie kwenye siasa

GE2025 Doyo: Mama yangu kukamatwa na polisi kisa kodi kumenipelekea niingie kwenye siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo.

Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok


Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi Digital Doyo amesema aliwahi kushuhudia mama yake mzazi akikamatwa na polisi kwa kukosa kulipa kodi ya maendeleo, jambo lililomsukuma kuingia kwenye siasa ili kutatua changamoto za aina hiyo

Chanzo: Mwananchi_official
 
Back
Top Bottom