Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Habari za jioni wapenzi wa teknolojia, Najua wengi wenu mnajua kuwa samsung Galaxy S9 tayari imesha toka na kama bado hujajua sifa za simu hizo unaweza kutembelea ukurasa wa Tanzania Tech kujua zaidi kuhusu simu hii mpya.
Lakini leo nataka ni shiriki na nyie Wallpaper mpya kabisa au wallpaper halisi za simu ya Samsung Galaxy S9, wallpaper hizi ndio zinatumika sasa kwenye simu hiyo na Tayari tumesha zipata na unaweza kuzipakua sasa kwenye simu yako.
Pakua Wallpaper Hizo Hapa > Tanzania Tech