Huu msaada tusaidieni jaman tuko wawili wenye tatizo hiliWakuu nimekwama kidogo
Kuna video nazi download kutoka YouTube
But kwenye computer zinaplay I mean desktop but nikisend kwenye flash zinagoma kabisa hata kufunguka
Support pls
Flash iko kwenye laptop na natumia the sake laptop kuopen hizo video
64gb kwa elfu kumiKwa sasa kuna wingi wa flash mbovu na unaweka data vizuri ila km no video au mp.3 hazichezi kabisa hivyo tatizo lako flash ni mbovu tafuta flash nyingine
Kwenye tvUngefafanua zinagoma kuplay wapi baada ya kuziweka kwenye USB Flash drive.