JF App ya iPhone ipo inatumika na ni nzuri sana, yangu nimeiDownload freely kama miezi miwili imepita hivi na inasaidia sana, unaweza kuUpload hata pictures na videos...great work!
We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo https://play.google.com/store/apps/developer?id=Home+of+Great+Thinkers ili kuweza kudownload JF Android Application na kuinstall kwenye kifaa chako ambayo utaitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Msisahau kutoa maoni yenu Kwenye Android store na sio hapa jamvini kama mlivyozoea kufanya. hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka na ambayo yatasaidia kuboresha application hii.