Download free JF application for Android


Sipati pm kwenye cm yangu.. galaxy s4
 

Msaada wa kudownload Jf application kwenye Nokia lumia 1320 windows phone 8.1
 
Young Master Je kuna Uwezekano wa baadae kupata Material Design ya Jamiiforums App hii
 
Last edited by a moderator:
Msaada wa kudownload Jf application kwenye Nokia lumia 1320 windows phone 8.1

Kwa sasa hakuna JF App for windows phone. Kama unataka ku-browse JF kwa kutumia windows phone then itakubidi utumie browser au TapaTalk App.
 
Jf app ina stack kwenye screen hii Mara Kwa Mara. Simu ina android 5.0.2
 

Attachments

  • 1431515762558.jpg
    168.9 KB · Views: 403
Young Master asee natumia BB Z3 Imegoma kabisa application ya JF shida nini??before ilikuwepo ila kwa sasa hamna kitu..na je nikitaka niipate kwa android naipataje maana hii BB iko compatible na android applications,,nisadie bhana maana nakosa mambo mazuri ya JF
 
Last edited by a moderator:
ni kwa nini hii simu yangu inashindwa kuinstall application yoyote kwenye playstore .mwanzoni kabla sijaiwekea memory card ilikua ina install vizuri applications.but baada ya kuona internal memory iko full,nikanunua memory card ili kuongeza space.sasa ni kwanini haiwezi kudownload application yoyote?ukidownload inaandika 'there is insufficient space' wakati inanafasi kubwa?
 

Mkuu kwanza unapaswa kutambua kuwa si apps zote unaweza ku install kwenye SD Card, kuna apps ambazo zinakubali kufanya kazi kwenye SD Card apps ambazo hazikubali kufanya kazi kwenye SD Card.

Ili ku-free space kwenye simu yako fanya yafuatayo:
  1. Nenda kwenye Settings > Application Manager > Bofya app unayotaka kuihamisha kwenda kwenye SD Card > Bofya Move to SD Card.
  2. Tumia File Manager kuhamisha manually large files kutoka kwenye phone storage kwenda SD Card kama vile, videos, music, photos etc.
  3. Tumia app kama Ccleaner ku-clear cache ambayo sio tu itasaidia ku-free space kwenye simu yako bali pia itasaidia ku-speedup your phone.
 
mkuu hakuna app ya jamii forum kwenye PC? nisaidie kama unayo ili niweze kuistall kweny PC
 
nime instal lakini inacrash sijui tatizo ni nini.. niko na tablet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…