DOWANS kuuzwa kabla ya wamiliki kujulikana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DOWANS kuuzwa kabla ya wamiliki kujulikana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babu Lao, Jan 23, 2011.

 1. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  A United States-based company, CPS Energy, may take over controversial Dowans Holdings (Tanzania) Limited, which expects to easily ‘fetch' $62 million(Sh95 billion) from Tanzanian taxpayers, The Guardian on Sunday has learnt.

  If it is sealed, the deal would totally conceal the real owners of the controversial power generating firm, which was awarded billions of shillings by the International Chamber of Commerce last year.

  According to impeccable sources, CPS energy is expected to acquire Dowans Holding Tanzania Ltd, in a deal estimated at $60 million.

  A source close to the negotiating team told The Guardian on Sunday over the weekend that ‘very soon' there will be no Dowans Holding Tanzania Ltd thanks to the new inheritor, a Texas-based power generating firm.

  Speaking under conditions of strict anonymity, the source said, "The two teams are in the final stages of sealing the acquisition...the deal may be ready before March, this year."

  "The very individual who brought Richmond and Dowans to Tanzania is the mastermind of the takeover…He believes the deal will go through in the next few months, " our source said.

  In what seemed to be another dramatic movement, after the acquisition, CPS Energy through its local agent who is the mastermind of the deal would seek an opportunity to generate and supply power to Tanzania Electric Supply Company (Tanesco).

  Dowans Holdings Tanzania Ltd is currently at the centre of the heated debate following the judgment by International Chamber of Commerce last year, which among other things awarded a compensation amounting to $62 million to a controversial power generating firm.  :nono:
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  A rose by any other name still smells sweet!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I said it Once and I will Say it Again..... Time is Running Out....., kila sekunde inavyopita without action ndio hawa wajanja wanaendelea kufuta tracks zao...., we need to strike when the iron is still hot!!!
   
 4. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Richmond was a Houston Texas based company! Now comes another Texan to take over her sister. I smell sumthng
   
 5. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Please say it without fear, you smell "Its the presidency"! or its Magogoni and everybody will understand. Lakini pole kwa kujitahidi kusema bila kutoa sauti.
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani hivi huyu Rostam Aziz ataendelea kutuchezea hivi watanzania mpaka lini? Jamani jamani, itabidi sasa tumtangazie vita ya nyama, yaani physical war.

  Tutaanza kwa kushambulia miradi yake na yeye mwenyewe asitokee kwenye hadhara nafikiri hii itawapa somo mafisadi vinginevyo ataendelea kujilimbikizia mabilioni ya walipa kodi huku Watanzania walio wengi wakiwa hoi bin taabani kimaisha. Ni yeye anasababisha maisha ya Watz yanakuwa magumu.

  Kwenye sekta ya umeme mizengwe imewekwa ili projects mbalimbali zisifanikiwe ili aendelee kubadili majina ya kampuni hii ya majenerata yake. Jamani Watz wenzangu sasa tumwambie Rostam kuwa enough is enough.
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tatizo la hii sinema ni starring, JK . Haitaisha mpaka huyu jamaa ametoka kwenye hicho kiti chake.
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  First of all hii Dowans ipo na case ya kuijibu, atakaye nunua shauri yake, i think huyu RA kaanzisha kampuni kwa jina lingine huenda
  kasajili US, then anadai inanunuliwa, of which utakuta mnunuzi ni yeye kazungusha hela, katafuta american citizen then anajifanya
  ananunua, kumbe anatuzunguka, kitu chochote chenye case mahakamani utauzaje au utanunuaje? so RA anatuchezea Wa Tz kama
  wapuuzi vile. & utashangaaa inatanunuliwe in a short time, bila kujua legality ya kampuni, huu ni
  uwizi, RA anatuzunguka, huyu si Mtz anatutumbukiza gizani lazima moto utawaka
   
 9. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Let me shut my mouth!!!

  Hiyo hiyo DOWANS itakayolipwa au kununuliwa ndo inatarajiwa kwenda kujenga power plant pale kinyerezi kama mko aware na mradi wa kinyerezi.

  Mbona hizo tender za miradi ya umeme hua haziwekwi wazi??
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280
  Unaenda kununua kampuni ambayo haijafanya mradi wowote duniani, hakuna ushahidi wowote ambao unaonyesha kwamba hii kampuni ni kampuni halali haina hata official website na mailing address yake ni utata mtupu! Utakuwa na akili finyu sana kununua kampuni kama DOWANS nakubaliana na yote uliyoyaandika kwamba huyu ni Rostam anataka kutuzuga Watanzania.

   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  No dought BAK huyu huyu ni RA 100% anatuzunguka, kampuni haina hata ofisi, Mmarekani narudia US Citizen kamwe hawezi kununua
  kampuni hewa, na tunapendekeza kujua why US embassy wasiulizwe kuhusu hili? US citizen hawezi kununua kampuni without getting
  consultation from US embassy to know its legal terms, kumbuka ni billions of Dollars, hakuna raia wa US atoe hizo fedha hovyo
  trust me RA anatuzunguka na mafisadi wenzake, anafungua kampuni anaweka hela let say US
  then anajiuzia thru another name, we spotted him huyu ni mwizi sana
   
 12. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I think nilishasomaga hapa JF Rostam ana uraia wa Canada.

  If that is true, anaweza kutuzunguka kwa jina lingine na different documents kumbe ni yeye ananunua. Afterall Tanzania hatuna duo citizenship, sasa kama anaweza kuwa na duo citizenship na akawa kiongozi, I guess he can do anything under Kikwete's watch. How can a person in a normal state of mind buy a company like "DOWANS'?

  Hata uki-google tu unashtuka jinsi ilivyo na information nyingi. Ni lazima mnunuzi atakua one of those mafisadi in that payroll. Huu si ndio mchezo uliofanyika wa Richmond na Dowans?
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Na hii issue ni ya kufatilia ni nani alimpa huo uraia.... people must be answearable au apewe 24 hours kuondoka nchini na caspian, voda etc iwe mali ya wananchi....
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  What a game. Kwa hiyo in future Tanesco itapelekwa tena mahakani na hiyo kampuni mpya kulipa mapesa. hawa watakuja na gear ya solar energy
   
 15. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kushikilia DevilHawans wasilipwe ni kuzidi kuvuta muda na kuzidisha riba i zidishe deni na hapo ni Bingo kwa Samuel Sitta na Mwakyembe.Mwisho wa siku ,serikali lazima ilipe deni ,maana hao wabunge wachache ndio wameshinikaza Tanesco ivunje mkataba na ni kosa kisheria ,Kina Sitta na Mwakyembe wenzenu wana mgao wao wana wa chora tuu mnao wa support, wanajua ukichelewesha ndio pesa zinazidi kuwa kubwa utajiri ndio huo ,poleni Wadanganyika.
   
 16. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This how CCM survive, baada ya kufa mfumo wa chama kimoja kwani walikuwa manachota, hela tu. Hivi jiulize CCM inawafanyakazi wangapi?. Kwanzia wenyeviti, Makatibu, Wilaya, vijana, na vyeo vya kawaida wanakula mshahara, Vikao kwanzia ngazi ya Kata mpaka Taifa vina posho, ya kutosha. Pamoja na miradi yao ambayo mingi ni magofu they are paid handsomely.......Hizo hela Rostam ni kama ni njia ya kupitishia tu, yeye anamega chake kingine kinaenda kwa wenyewe, there is a long chain ya hizo fedha na ndio maana wahusika hawaogopi kelele za raia yoyote. Na ndio maana hoja ya UVCCM, CC imeona ya kitoto wala haijaizungumzia. UVCCM ni kama watoto wanaolelewa tu, hawajui mzee fedha anatoa wapi, kumbe za ujambazi, hawajui wanaishi kwa ujambazi, wa kuiibia selikari kwa fedha kama za dowans. Tutegemee tenda hewa nyingi sana, kwa mfumo huu ambao vyama vikongwe barani Africa, vinautekeleza ili kuweza kusurvive. Kazi ya kuindoa CCM wana JF siyo ya kubeza. Uzoefu kwa nchi kama Kenya, Ghana na South Africa to mention a few unaonyesha kuwa, hao mapapa wa kwenye system wakizidiana share katika mgao au mmoja asipolikiza ndio wanaweza kujimega na kuunda, makundi yanayopingana, au hata chama mbadala. Chain ya mgao ni ndefu mno especially kuendesha chama.High ranking wa vyombo vya ulinzi, vikuu wanazifahamu hizo tenda na wanahusika pia katika utekelezaji.

  Tupo katika zama za kampuni na tenda hewa zinazofanya vyama tawala kuishi kwa kuwa bila hivyo vingekwenda na maji.... We need to ponder on the situation its worse worse and worse............
   
 17. K

  Kide Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wewe unadhihirisha ni mjumbe wa kamat kuu cmm...nan tunamlipa by da way?
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Tanzania inamlipa Nani tena? Kweli CCM na JK ni Vichaaa hawaaa...
   
 19. N

  Nonda JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Ile Richmond ilikuwa kampuni ya wapi? Si ilitokea Marekani? Dowans ikainunua Richmond au sio? Sasa Dowans inanunuliwa na "Richmond" recycled au vipi?
  Mduara umetimia! Ukitaka kushangaa fika Tanzania..... Hawa jamaa kweli wameamua kuua nyani,, yaani hawamtizami usoni.
  Wanavuna wanajikata, wanapokezana.
  Wanafikiri sote ni mataahira.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  I thought the movie which i was watching (DOWANS) wa about to end kumbe kuna part 2 let buy some juice, surely misplaced opinion can lead to a state of delusion
   
Loading...