Dougoo ameanza mapemaaa

Hee! Kwani hujamtambua? Huyo si ni Boflo huyo alipokuwa mdogo?
 
Last edited by a moderator:
Watoto wa jakaya hao, wana balaa sio mchezo.
 
mwisho mtoto ajambiwe kha....kusogea makalioni mwa dada zake
 
Hapa tatizo si dogo bali mawazo ya mleta mada. Acheni watoto wawe watoto wafaidi utoto wao. Mkianza kuwahukumu kwa uoni wenu mtawaharibu zaidi.
 
Hii picha imeeditiwa na Photoshop
1. Angalia kwenye kichog0 cha dogo utaona kuna rangi zimebakia kwenye picha iliyo kuwa juu.
2.Mikujo kujo ya sikati ya dada sio halisi
3. Angali mguu wa huyo data ulivyo kaa kamavile paja dogo kuli chini ya mguu.
4. Je huyo dada anamguu mmoja? kama anamiwili mwingine unakaawapi?

Jamani hebu tujaribu kuichambua kidogo picha hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…