Doublecklick for publisher

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Hallow,habari.

Tafadhali mwenye kujua jisni ya kujisajili na hiyo huduma ya double click tafadhali atusaidie side ambak hatujuu
 
Sharti la kwanza unatakiwa uwe na adsense account ambayo ipo active.

Web/blog inatakiwa iwe na traffic ya kutosha.

Baada ya kujiunga, utapata uthibisho toka google kwa kutumiwa mwaliko au third part company ambao wapo adx(google ad exchange).

Doubleclick ni kama mnada flani hivi na inakupa uhuru wa kuweka matangazo unatotaka kulingana na bei ambayo advertiser atatoa.

Kuna vigezo na masharti mengine ya kutimiza ili uweze kutumia DFP, jifunze zaidi kupitia link hii https://support.google.com/admanager/answer/9059370
 
Hiyo adsens lazima iwe inatumika kwenye blog tu ,maana Mimi ninayo ambayo inatumika kwenye blog
 
Back
Top Bottom