Ile Hoteli iliyosemekana imefungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira,Dr.Thereza Huvizya,inafanya kazi zake kama kawaida. Hata lunch yangu leo nimepata hapo.Imeshafunguliwa? Au inatunisha msuli kwa Waziri? Au,haijulikani Serikalini? Tafakari!