Double Standards za Serikali ya Magufuli

Mungu amuongoze Mh. Rais asiwe na double standard. Kwanza kwanini? Why? Polque.
 
Tusaidieni tamko la kutobomoa ili tuwe na pakuanzia katika huu mjadala.
 
We endelea kutafuta majungu tu badala ya kufanya kazi. Hivi unafikiri lwakatare akivunjiwa nyumba we itakusaidia kukuza kipato cha familia yako.
We nae ungekaa kimya kama hujaelewa mada
 
We endelea kutafuta majungu tu badala ya kufanya kazi. Hivi unafikiri lwakatare akivunjiwa nyumba we itakusaidia kukuza kipato cha familia yako.
Kuna mtu hua unamsaidia hela ya kula humu??
Stop acting like land lord tafadhali kila mtu anajua anatafutaje mahela
Kama haikuhusu unakausha tu
 
Relax kijana. Jifunze kuacha kulalamika wewe. Maisha ni zaidi ya siasa. Grow up
 
DuH!! Ni kweli lakini.
 
polepole mtakuja kukubaliana na mimi kwamba, Makufuli ubaya wake atajitokeza oale atakapokuja kuwa na upendeleo kati ya viongozi wa ccm na wa vyama vingine, kwa kifupi hiyo ndio sera ya ccm, ukiwa upande wao kwako hakuna makosa
 
Hi sinema nataka niifuatilie hadi mwisho wake...
Ndipo nitapojua kwamba hii serikali kweli iko serious an utendaji wake au mambo bado ni yale yale..
 
[QUOTE="

tunataka kuona nyumba ya rwakatale inabomolewa tunataka kuona mahotel yanabomolewa Je ne peux pas supporter de voir la folie est effectuée par le gouvernement.
By Mdude Chadema (Facebook)[/QUOTE]
Mwenyewe hapo kwenye Pink, tena mwenyewe hasa
 
kwani huko mabondeni watu wa ccm hawapo? mambo mengine ni ya kipuuzi tu, acheni sheria ichukue mkondo wake, ni kweli watu wa mambondeni wanatakiwa kuondoka, na hili agizo si kwamba limeanzia kwa JPM, viongozi walopita walilichukulia kisiasa zaidi, lakini JPM hataki kufanya maamuzi ya kisiasa, na kama pia angeweka siasa kwenye barabara ni wazi kwamba tusingekuwa na barabara za kutosha hapa nchini. kwani maamuzi hayo ndo yametufikisha hapa tulipo, jiji letu linanuka kila pahala, sasa ni wakati wa kufuata sheria japo kuna uchungu mkubwa sana, lakini hakuna namna ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…