DOUBLE STANDARDS ZA CHADEMA, Lwakatare angekuwa kiongozi wa CCM wangeandamana kushinikiza ajiuzuru


Tatizo lako unaendeshwa na hisia, ukiziruhusu hisia zikuendeshe basi ni lazima utakuwa adui wa ukweli. Hakuna asiefahamu changamoto za kutawala nchi, hii nchi ni kubwa na ina watu wengi, kumridhisha kila mmoja wetu sio jambo linalowezekana, hata arudishwe hayati Mwl.Nyerere leo, asingeweza kuridhisha kila mtu.

Kwa kusema hayo basi, ni kweli kuwa yametokea matukio hayo uliyosema, lakini yamefanywa na wahuni wachache ambao kimsingi hawaheshimu na kutii sheria za nchi, na kwa taarifa tu, ule msafara wa rais aliozomewa, ni kwa sababu wananchi walimsubiri kwa muda mrefu sana, ili wampungie mikono na kumlaki, ila kutokana na sababu fulani fulani msafara wa rais ulichelewa na kupelekea wananchi hao kuchukia na kufanya lile tukio, ni mambo ya kibinadamu tu.
 
vuta subira mkuu itakapothibitika hivyo basi hatua na taratibu mujarabu zitachukuliwa.na hapo ndipo itakapozihirisha nani kati ya cdm na ccm ambaye ana walk on his talk.
You need to practice what you preach Bro.
Chadema have failed to do that.
 
Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.

Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.
Mkuu kwa dr slaa ni mungu wangu, haipiti siku moja haujamtaja duuu!
 

mkuu uchunguzi upi unaozungumzia?wa chama au jamhuri?coz kwa uelewa wangu lwakatare kwa cheo chake hana kinga(immunite)inayomzuia kukaguliwa ndiyo maana kwa upande wa jamhuri walimpekuwa ofisini kwake na nyumbani.na kwa upande wa chama uchunguzi unaendelea na ushahidi wa mwanzo kuhusiana tuhuma zake umeshatolewa na kamati kuu baada ya kujirizisha. Mimi na wewe yawezekana kuwa tunajua yale ambayo yamewekwa kwenye public domain lakini kumbuka kuna yale ambayo atuyajui na ili uweze kuwa fair ni vyema ukawa well informed.ningeshauri tusubiri mwenendo wa kesi.
Wend njema
 
You need to practice what you preach Bro.
Chadema have failed to do that.

mkuu umeshindwa kuelewa nini hapo!?
chadema wanasema Lwakatale ameonewa, tofauti na ccm rushwa wizi wa wazi tuu.
HATA MIMI MWANACCM ILA SITETEI UJINGA WA CCM NA MIJITU KAMA NINYI MNAHARIBU CHAMA CHETU CHA UJAMAA NA KUJITEGEMEA! KIMEKUWA CHAMA CHA WEZI NA MAJAMBAZI!
 

Unatoa mfano wa Lowassa? Mpaka Leo hii wangapi walitakiwa waachie ngazi humo CCM nadhani sasa hivi walitakiwa zaidi ya asilimia 95 iwe imejiuzulu mbona bado wanang'ang'ania viti?
 

Nimekusoma.
 
Reactions: FJM
Mimi nadhani kama kweli mna wataalam wenu na nyinyi mngefanya uchunguzi kuliko kumtetea wakati nyie wenyewe hamjui ukweli ukoje

Wamefanya, na wanaendelea kufanya. Subiri kesi ianze kusikilizwa.

NB: Kwani polisi hawafundhishwi kesi zinaendeshwaje au/na mamlaka ya mahakama kama mhimili huru wa dola?
 

"Kuchamba kwingi sasa naona unaondoka na ....................". CHADEMa waligundua kwamba jamaa hamna kitu mkichwa. Kama ujengeji hoja wenyewe ndio huu wa huyu jamaa, hawakukosea licha ya kuambiwa kwamba alikuwa msaliti!!!

bahati mbaya ungekuwa na maarifa ungeficha mapungufu yako. Ila kwa vile una mapungufu ya kuto jijua kwamba una hayo mapungufu ndiyo unazidi kujionyesha jinsi ulivyo mtupu.

Naendelea kuomba kwa Mungu kwamba, kwa vile umeamua kuwasaliti waTanzania wanao nyanyasika katika nchi yao Kiuchumi na Kisiasa, "ULAANIWE WEWE PAMOJA NA UZAO WAKO HADI MWISHO WA DAHARI".
 
Sasa kwa nini na nyie ccm msishinikize ajiuzuru..acha kuwa na akili za kitoto
 
Sasa matusi ya nini?
Anyway nimezoea kukutana na watu kama wewe mitaani sema tofauti yako wewe na wenzako, wewe haurushii watu mawe.
 
huna jipya we! Magamba wanatumia dola vibaya kukiangamiza chadema kwa kupika ishu za uongo,Always chadema wanafanya maandamano kwa ajili ya maslai ya watanzania.
 
Badala yakumeza dawa alizoshauriwa atumie kwamatatizo aliyonayo,kameza VIAGRA ndizo zinamsumbua na kakosa mume!

Huu ugonjwa ukiupata ukubwani unakuwa sugu, sawa na kichaa cha kupatia ukubwani kupona ni shughuli pevu
 
Very soon watanzania wakawaida watafahamu kuwa CHADEMA ni wababaishaji tu. Kila kukicha matamko yasiyokuwa na tija!
 
Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.

Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.

Dr Slaa mwaka huu mpaka akutie mimba wewe na Christina Lukosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…