Double J ushering services kwa ajili yako

Double J ushering services kwa ajili yako

sajientia

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
171
Reaction score
137
Double J ushering services inatoa huduma ya wahudumu wazoefu na sanifu kwenye shughuli mbalimbali. Wahudumu hao wataifanya shughuli yako iwe nzuri na ya kuvutia kwa wageni waalikwa. Shughuli hizo ni kama harusi,send-off,kichen party,mikutano,misiba na shuguli nyingine nyingi. Wahudumu hao watakuwa ndani ya vazi la sare maalumu kulingana na. Rangi za shughuli yako..

Baadhi ya huduma kwa kirefu
1. Kutoa huduma katika harusi
-Wanahakikisha harusi inakwenda kwenye mpangilio mzuri na wa kuvutia
-Kukaribisha na kupokea wageni kwenye ukumbi husika
-Kutoa maelekezo muhimu kwa wageni ukumbini
-Kutoa huduma zote za muhimu ukumbini

Vilevile wanatoa huduma za usafiri wa kukodisha kwa ajili ya shughuli yoyote na huduma nyingine kama catering,vinjwaji,M.C na mengineyo.

Kwa taarifa zaidi na kuweka order piga simu namba 0717287988 au 0654473717.
Unaweza kuja moja kwa moja kwenye ofisi zao zilizopo Silver Sands..
ANDAA SHUGHULI YAKO VIZURI NA IKUMBUKWE DAIMA
 
Back
Top Bottom