Dotto Rangimoja na The Boss wako wapi?

House of Commons

JF-Expert Member
Oct 1, 2013
2,076
1,991
Kuna members humu sijawaona kwa muda mwingi sana. Dotto Rangimoja na The Boss hawapo humu. wako wapi? Natamani kuwasikia au kuwaona wakijitokeza mubashara, vinginevyo tuamini kwamba wameshahujumiwa maisha yao na hawapo duniani tena.

Kama kuna members wanafahamu walipo hawa wapendwa watuambie nini kiliwasibu hawa ndugu zetu mpaka wasionekane ndani ya mtandao huu pendwa.
 
Dotto Rangimoto Chamchua aka Njano5 aka Jini Kinyonga aka Kisima Cha Jangwani mwamba wa mashairi. Anajua sana jamaa yupo Moro namuona kila siku insta kule na Zitto Kabwe wanajenga ACT yao......

Huku amepunguza kuonekana sijui kwanini......wazee wa poetry tumemmiss
20190823_121709.jpg
 
Back
Top Bottom