Tetesi: Dotto Biteko kuteuliwa Waziri Mkuu Serikali ijayo endapo atashinda ubunge jimboni

Boi Manda

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
623
Reaction score
714
Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu

Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo

Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda

Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo

Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi

Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa

Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye

Comasava.
 
Ikishakuwa planned waaaay back
 
Huyo siyo wa kanda ya ziwa, huku alihamia tu kienyeji tokea Burundi.

Yaani nchi iwe na PM ambaye siyo raia?
 
Anashindana na nani kwenye ubunge?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom