fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukiaDahl! Jamaa umeniwahi niki kilema nilishakiona ana hilo tatizo na ni kubwa sana kwenye kichwa chake anaongea kama analingania dini na kunyoosha kidole juu kama anatamka shahada.
Ajue wapenzi wa clab ni wengi wenye itikadi mbalimbali hivyo maneno yake yasiingize dini na kama itamlazimu kutumia vionjo na salamu za kidini basi aballance na imani nyingine.
Tena mtu mstaarabu akitaka kutumia salamu za kidini kwenye watu mchanganyiko kuanza kwa kutumia salamu za dini nyingine na salamu inayotumiwa na dini yake anaiweka mwishoni.
Jambo ambalo ni ngumu kwa watu wa imani fulani akikukuta anajua wewe ni imani tofauti analazimisha kukusalimia kwa.salamu anayoitumia kwenye dini yake
lugha tuu hiyo mkuu, lkn ni Salaam moja ya kiungwana sna laiti kama ungejua tafsiri yake kwa Kiswahili kama mdau alivyokutafsiria kwa Kiingereza hapo juu..Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
Asante kwa maoni yakoNamba 2 upo sahihi, namba 3 haupo sahihi (Nugas hashindani na Manara)
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Salamu aleykum,na shekhe sio maneno ya kidini ni lugha tu ya kiarabu,shehe ina maana 2,moja ni kuonesha umri wa mtu na 2 ni mtu mwenye elimu,na hiyo assalam aleykum ni amani ya bwana iwe nanyi,hivyo sio mbaya shida ni kutamka aya za kuruani,ndio sawa.Ni msemaji wetu wa yanga,hivyo namuomba tu ajirekebisheHiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
Sasa hapo ndo mnapokosea kwenye matumizi ya Lugha, kwa Mimi ambaye sijui kiarabu si nitajua umenitukana , kwa nini usiongee kiswahili kua "Amani iwe nawe'Salamu aleykum,na shekhe sio maneno ya kidini ni lugha tu ya kiarabu,shehe ina maana 2,moja ni kuonesha umri wa mtu na 2 ni mtu mwenye elimu,na hiyo assalam aleykum ni amani ya bwana iwe nanyi,hivyo sio mbaya shida ni kutamka aya za kuruani,ndio sawa.Ni msemaji wetu wa yanga,hivyo namuomba tu ajirekebishe
[/QUOTE]Asalam aleikum means may peace be with you
Anaweza kuitikia tu waleikum salaam
Haina shida
QUOTE="Payrol, post: 38023308, member: 476851"]
Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
MANARA ni propagandist anafanya propagandaMimi ni yanga damu lakini naona upungufu mkubwa kwa mhamasishaji wetu, Antonio Nugaz.
1. Kwanza ana sauti nzuri sana lakini anaitumia chini ya kiwango, hana facts kabisa ila anapiga porojo tu.
2. Yeye ni msomi wa kuruani, lakini anapotumia aya kuruani kuitangaza Ynga akumbuke kuwa wanayanga wote sio Waislamu
3. Anashindana na Haji Manara, akumbuke kuwa manara ana talent yake, ambayo kapewa na Mungu, sasa akitaka kushindana nae bila ya kuwa mbunifu hatamuweza Manara.
Namshauri ajirekebishe na asishindane na Manara kwa kumuiga au kwa kuropoka tu, hataisaidia Yanga na hatamshinda Manara.
Wana kujiona bora kisa eti wao ni waislamu.Inashangaza sana.Hiyo ni tabia ya waislamu, anakukuta hata hakujui utasikia Salam Aleku shekhe, sasa unajiuliza hawa wanafikiri wote ni waislamu,,, afu ukimjibu Amina Bwana Yesu asifiwe anachukia
ni kweli kwa sababu Manala anashindana na Yanga nzima,kuanzia mashabiki mpaka viongoziNamba 2 upo sahihi, namba 3 haupo sahihi (Nugas hashindani na Manara)
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Nugas ni Mwanahabari by professional, Manara ni mission townni kweli kwa sababu Manala anashindana na Yanga nzima,kuanzia mashabiki mpaka viongozi