Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama chake kimeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ili kutetea na kulinda demokrasia nchini, akisisitiza kuwa ni haki ya kila mwananchi kuchagua viongozi wanaoweza kuleta maendeleo.
Amebainisha haya Busega, mkoani Simiyu, Semu na kwamba haki ya kupiga kura imekuwa ikiporwa na kukandamizwa kwa miaka mingi, lakini sasa ni wakati wa wananchi kusimama kidete kuilinda.
Ameongeza kuwa licha ya changamoto nyingi katika mifumo ya uchaguzi, ACT Wazalendo haijasita kushiriki kwa sababu imedhamiria kuhakikisha sauti za wananchi zinasikika.
Kauli hiyo ya Dorothy Semu ni mwendelezo wa msimamo wa ACT Wazalendo kujitokeza kwa nguvu katika uchaguzi wa mwaka huu, licha ya kuwepo kwa miito kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani ya kususia uchaguzi huo.
Utalindaje kura wakati mtu akipiga kura anashurutishwa asionekane umbali wa kuanzia mita mia moja au akalale kabisa?Hivi ni vichekesho vya kiufundi sana.