PreGE2025 Dorothy Semu wa ACT Wazalendo: Tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa kilitokea mpaka viongozi kutoka Tanzania wenye mamlaka makubwa katika nchi wakazuiwa kuingia Angola kwa hiyo tunaitaka serikali itoke hadharani na itoe kauli kuhusiana na tukio hili. Lakini pili tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze kuhusiana na kadhia hii iliyotokea.”

Dorothy Semu Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo akizungumza leo na wanahabari juu ya tukio la wao kuzuiwa nchini Angola.

Pia soma ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania
 
Ni vigumu kwa kuwa serikali ya ccm ina maslahi na jambo hili, tusubiri tuone.
 
Dorothy Semu Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo akizungumza leo na wanahabari juu ya tukio la wao kuzuiwa nchini Angola amesema:

“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa kilitokea mpaka viongozi kutoka Tanzania wenye mamlaka makubwa katika nchi wakazuiwa kuingia Angola

"Kwa hiyo tunaitaka serikali itoke hadharani na itoe kauli kuhusiana na tukio hili. Lakini pili tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze kuhusiana na kadhia hii iliyotokea.”



Source: Jambo TV
 
ajieleze kwani walimuaga huyo balozi ndio akawatelekeza, walipokua wanaenda kiholela na viherehere vyao kuvamia nchi ya watu kama vile wanaenda kariakoo?
 
Angola ina ubalozi hapa?
 

Kamwe haitaweza kutokea jambo hili.

CCM ya Tz na UNITA ya Angola ni Mapacha wa kufanana, wote lao moja.
 
Hata akija wakimuhoji... watakaa kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…