Remmy Emmily
Member
- Jun 7, 2025
- 6
- 3
Maoni ya wadau kuhusu swali langu la aina ya marketing ninayopaswa kuitumia na yenye nguvu hasa kwa bidhaa mpya kabisa ni DOOR TO DOOR MARKETING.
Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato mzima wa masoko na mauzo ya mlango kwa mlango. Asanteni
Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato mzima wa masoko na mauzo ya mlango kwa mlango. Asanteni