Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,859 Feb 6, 2009 #21 Mzee Mwanakijiji said: Kesho naenda kwenye maonesho mengine nikiendelea na utafiti wangu wa hali ya kiuchumi hapa Marekani. So.. Click to expand... hebu acha hizo bana utafiti gani huo unaofanya...ingekuwa sio hao akina dada wala usingehangaika kwenda...Lol
Mzee Mwanakijiji said: Kesho naenda kwenye maonesho mengine nikiendelea na utafiti wangu wa hali ya kiuchumi hapa Marekani. So.. Click to expand... hebu acha hizo bana utafiti gani huo unaofanya...ingekuwa sio hao akina dada wala usingehangaika kwenda...Lol
Binti Maringo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2007 Posts 2,804 Reaction score 97 Feb 6, 2009 #22 Yo Yo said: Shori kama Cythia masasi...... Nyani ngabu unalala saa ngapi? kula saa ngapi? na huyo cupcake wako mna manufacture saa ngapi? kila wakti nakukuta humo humo...... Click to expand... Ama kweli nyani haoni kundule...sasa wewe kama unamuona cupcake online na wewe si maana yake unakuwa online?....
Yo Yo said: Shori kama Cythia masasi...... Nyani ngabu unalala saa ngapi? kula saa ngapi? na huyo cupcake wako mna manufacture saa ngapi? kila wakti nakukuta humo humo...... Click to expand... Ama kweli nyani haoni kundule...sasa wewe kama unamuona cupcake online na wewe si maana yake unakuwa online?....
Binti Maringo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2007 Posts 2,804 Reaction score 97 Feb 6, 2009 #23 Nyani Ngabu said: hebu acha hizo bana utafiti gani huo unaofanya...ingekuwa sio hao akina dada wala usingehangaika kwenda...Lol Click to expand... Yeah mwanakijiji njoo chicago kuna maonyesho ya magari this weekend...njoo kusafisha macho yako!
Nyani Ngabu said: hebu acha hizo bana utafiti gani huo unaofanya...ingekuwa sio hao akina dada wala usingehangaika kwenda...Lol Click to expand... Yeah mwanakijiji njoo chicago kuna maonyesho ya magari this weekend...njoo kusafisha macho yako!
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,097 Reaction score 43,309 Feb 7, 2009 Thread starter #24 Mzee Suki, Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!?
Mzee Suki, Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!?
S Suki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 373 Reaction score 20 Feb 7, 2009 #25 Mzee Mwanakijiji said: Mzee Suki, Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!? Click to expand... I don't do spins. Full rides are more my thing.
Mzee Mwanakijiji said: Mzee Suki, Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!? Click to expand... I don't do spins. Full rides are more my thing.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,097 Reaction score 43,309 Feb 7, 2009 Thread starter #26 Suki said: I don't do spins. Full rides are more my thing. Click to expand... hahahah nimekupata mkuu yaishe!
Suki said: I don't do spins. Full rides are more my thing. Click to expand... hahahah nimekupata mkuu yaishe!
Icadon JF-Expert Member Joined Mar 21, 2007 Posts 3,581 Reaction score 196 Feb 7, 2009 #27 Duh nimeipenda hiyo 300 na spider doors. NN vipi bado una 1972 Donk yako?
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,645 Feb 7, 2009 #28 Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI)
Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI)
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,455 Reaction score 10,869 Feb 7, 2009 #29 Obe said: Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI) Click to expand... Swali ni kwamba ukiwaajiri utaweza kuwalipa? maana hawa hawafanyi kazi kwa deni! Kama madereva wa wabunge wetu! Duuh! Ughaibuni kuzuri jamani..asikuongopee mtu! SteveD tuvute basi na wengine! Au ndo ule msemo kwamba aliye juu mngojee chini? kwa mwendo huu..mnaweza msirudi chini! Inabidi tuwafuate huko huko...
Obe said: Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI) Click to expand... Swali ni kwamba ukiwaajiri utaweza kuwalipa? maana hawa hawafanyi kazi kwa deni! Kama madereva wa wabunge wetu! Duuh! Ughaibuni kuzuri jamani..asikuongopee mtu! SteveD tuvute basi na wengine! Au ndo ule msemo kwamba aliye juu mngojee chini? kwa mwendo huu..mnaweza msirudi chini! Inabidi tuwafuate huko huko...