Don't travel with wrong patners, it's too expensive

Nzuri saana a umejitahidi sana kutoa ushauri na kama alivyosema miss chagga it is more than expensive muhimu ni kuwa makini na uliyenae na uliyempata maana chuo wengi ni pasua kichwa

Ahadi nyingi kumbe ni sifuri acha kabisa
 
Last edited by a moderator:

Exactly, you hit the point masai dada. Watu wengi tunahisi kuresolve matatizo ndani ya r/ships zetu ndio the best & wisest medications...
S/times we need to hv balls of steel, fanya maamuzi mazito.
 
kabisa utaumia siku mbili tu ya tatu unaanza na mengine

wa kuhofia kumpoteza ni mke/mume na naamini kama ni mke au mume afanyi huo upuuuzi wa kitoto kuna yale mazito ukipima kuna sababu

uamuzi mzito ukishindwa kuufanya kwenye mahusiano huku awali utajikuta unaoa au kuolewa na mtu ambae alishakusaliti mkiwa kwenye uchumba sijui utaongea nini endapo akikusaliti katika NDOA
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri hii yawafaa wasiojitambua kunako mahusiano....
 
Nafikiri hii yawafaa wasiojitambua kunako mahusiano....

Tena hao wanaojifanya mabingwa kunako mahusiano, ndo hua ni great victim to this type.
Hua wanajifanya mabingwa wa uvumilivu, mabingwa wa kusamehe, profoundly seek for reconciliation. Mwisho wao hua si mzuri sana.
 
Wewe wasema mkuu...
 
chuoni mapenzi ya kudumu hadi ndoa hamna........ nina marafk zang wanne ambao wote baada ya chuo kuisha mauhusiano na watu wao yamekatika .... kweli ni kusaidiana kukua kama heaven on earth alivosema
 
Hahaaa, jamaa alikuwa too sweet kwa mdada, its very wrong in a relation! Huyo binti alishaona jamaa ni mtu baye ni too sweet akataka chachandu yenye pili pili.

Advice kwa vijana mnaotafuta, msiigize mapenzi ya kwenye tamthilia. Be strong na ikiwezekana watikiseni hao wapenzi wenu, acheni usharobaro kwenye mapenzi.
 
chuoni mapenzi ya kudumu hadi ndoa hamna........ nina marafk zang wanne ambao wote baada ya chuo kuisha mauhusiano na watu wao yamekatika .... kweli ni kusaidiana kukua kama heaven on earth alivosema

Lkn mkuu mbona kuna wengine pale pale chuoni tunawaona wanafunga ndoa, tena hata kabla hawajamaliza masomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…