Wakazi wa Arusha na mikoani, nawaletea Mitumba ambayo ni first grade, viatu vizuri mwenyewe utaridhika ukiviona, free delivery popote ndani ya Arusha mjini.
Bei ina range from 35-50, duka lipo Mbauda adjacent to Azania Bank.
haha faith nimependa ulichouliza,kwakweli siwez kucomment japokua kuna wadada huku Arusha naona wanavaa vya style hiyo@
Tamalisa gharama zote za nini?kuliko utoe 50,000 go and return to Arusha si bora kiatu kitumwe kwenye basi tu ukakipokee stand ambayo haitazd elf8
vipo vingine vizuri zaidi,hizo ni baadhi ya za pair tu! karibuni