EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
Tatizo tunalazimishaga mapenzi na tulioachana nao kwa kigezo cha KUPASHA kiporo.
Kwa muktaza huo kama unaweza kupasha kiporo na UMEOA Mwanamke SIO BIKIRA inamaana naye ANAPASHWA
Kwa muktaza huo kama unaweza kupasha kiporo na UMEOA Mwanamke SIO BIKIRA inamaana naye ANAPASHWA
Lakini maddam nimekuelewa sana kwenye hili,na hii ndiyo sababu kubwa sana ya marriage wreck,kwanini hatujiulizi kama kweli tulipendana na ma-Ex wetu?kwanini kila mmoja aliondoka halafu baadae kila mtu au mmoja yuko kivulini,inakua tena hiyo takataka?
Mimi nilijaribu kuwapitia upya wote,na wakawa tayari,nikajipongeza kuwa HAWAKUWA CHAGUO SAHIHI KWANGU,kwakuwa hata ningewaoa mimi WANGEGONGWA na ma-X wao.KUJIDHALILISHA TU.
Am very expensive to just let my banana open.