Dont let me cheat on my ........, Oohh Lord!!!

we toa tunda tu hilo libanjuliwe watu wapate raha kwa kukuloanisha ndani kwa ndani. Alafu penzi la ku cheat tamuuuuu.
 
Hapo kwenye Blue huwa wadada walio wengi wanapata tabu sana na hatimaye kujikuta wameshafanya yale waliyokuwa hawayapendi (makosa)......Anyway Mungu na akusaidie since unahitaji Maombi basi ulete feedback humu pia ili tujue kama maombi yamefanya kazi au umeishia kugegedwa....
 
Aaa!
Haki ya Mungu walai!
Kuna wadada wachoyo! Sa kum'bania mwenzio mbunye ndio nini??!!
...
Embu kumbuka hii
"na koja la asumini,
nakuletea tamashaa,
mapenzi ya utotooni,
leo kaja yakumbushaa,
yanamwenda midomooni,
kwa furaha na bashasha,
KAJAOMBA SSAMAHANI,
VIPI NIMKATALIE?"
...
Ubane pua wakati unapitia huo wimbo!
Mzee mwenye busara kaachia dongo hilo! Sio bongo fleva!
 
huyo bwana anaukwimwi anataka akuambukize. usikae naye karibu, usiingie chumbani kwako wala wewe usiingie chumba kwake. pia msisalimiane kwa mikono. endelea kumkimbia okoa maisha yako. tumia akiri kufikiri na usifuate udhaifu wa mwili
 
Usipoteze nguvu mkuu.. ukiona kimya ujue tunda lishamegwa.. sanasana hata akirudi ataishia kujiongezea dhambi ya kutudanganya.."asanteni kwa maombi nilifanikiwa kushinda kishawishi.." wakubwa tunaguna tuu tunauchuna.
 
Hahahaha.....hili nalo neno
 
Wapendwa nashukuru kwa sala zenu, kweli tuliongea sana till late hours tukiwa wote sobar na nguo zetu maana tulikuwa tunaongea kwenye makochi ya reception ya hotel afterward kila mtu alienda kulala. HApa niko KIA nasubiria flight yangu kurudi home safely. Trust me nothing happen btw the two of us. BAK usihofu wala usitie shaka u know mie huwa siko kirahisi, sijisifii ila am hard to get.
Stay well and be blessed friends, me love u all.
 
Last edited by a moderator:
Si niliwaambia?
 
ayaaaaa!hilo zoba limekukosa?????
 
ukiona unashndwa kabisa kujizuia mwambie mumeo (kama unae) akuombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…