juma mpemba
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,227
- 7,553
asa akikuchagua wewe ,,utanilipa nnavompaga joanahUndugu siyo kufanana, ni kufaana.
Ninyi ni ndugu kabla hata ya hiyo jana, ndiyo maana uliweza kumshauri joanah achague lililo jema (anichague mimi).
Lakini inawezekana pia kupataTopic ndefu sana hii.
Kupata mtu unayempenda na yeye akupende same same ni zoezi gumu Africa.
Transparency, simu zenu, privacy zenu ziwe wazi kwa kila mmoja.
Lakini inawezekana pia kupata
Mm Naamini katika mapenzi ya kweli no matter what
Hapahapa Africa na tz
Vile unavyoamini na kukiri ndivyo utakavyopokeaHaya mambo ni imani zaidi.
Vile unavyoamini na kukiri ndivyo utakavyopokea
Inatakiwa uaminiWewe sikuwezi kwenye hili la imani.
Inatakiwa uamini
Kama kweli una upendo wa dhati Mungu lazima akupe wa kufanana nae
Mungu hawezi kukupa asiye eleweka
Labda tu uwe hujamsikiliza vizuri
Hapahapa Africa...kuna wanaume na wanawake waaminifu
Mimi siamini, na nafurahi zaidi kuyaishi haya maisha zaidi kuliko ya kuweka imani za kwamba niko kwenye mapenzi ya kweli.
Teh watu tunakataa uzee we unaukimbilia... Ama ndo uzalendo wenyewe ninihivi mimi hadi leo ni kabinti...na hizi mvi
Tafuta kimoja wapo basi kati ya "Sox" packs ama hela za maana lols
Marahaba japo nimepunguzwa speed sio kwa heshima hii niliyopewaSijambo.... Shikamoo
Kwa hiyo unaamini haupo kwenye mapenzi ya kweli??
Ubaya wa uzee haukimbiliki yaniTeh watu tunakataa uzee we unaukimbilia... Ama ndo uzalendo wenyewe nini
Kama ndivyo inabidi kuendelea na kuchombeza chombeza
Ongezea kwamba , pesa za maana.