Don't go for six packs, go for six cars!

Inatakiwa uamini
Kama kweli una upendo wa dhati Mungu lazima akupe wa kufanana nae
Mungu hawezi kukupa asiye eleweka
Labda tu uwe hujamsikiliza vizuri

Hapahapa Africa...kuna wanaume na wanawake waaminifu

Mimi siamini, na nafurahi zaidi kuyaishi haya maisha zaidi kuliko ya kuweka imani za kwamba niko kwenye mapenzi ya kweli.
 
"Hako kabinti" ni kasichana kamoja hivi kanaitwa cute b! Nimegundua mpenzi wangu Khantwe anakatumia haka kabinti ku-post mafumbo kwa niaba yake lakini akinilenga mimi! Alijuaje kwamba sina hela wala "sox" packs kama sio kapewa umbeya na Khantwe?!
Tafuta kimoja wapo basi kati ya "Sox" packs ama hela za maana lols
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom