Don't go for six packs, go for six cars!


Vipi kuhusu Mada
Wewe unatushauri Nini wadada?

Mimi nina mtoto wa kike, kitu kikubwa ambacho ninatamani kumwona anacho ni yeye kuwa huru kifedha.

Awe na chanzo chake cha fedha, either kazi au mradi ili aweze kujilea na kulea watoto wake.

Swala la nini akitafute kwenye mapenzi ni juu yake, but real love would be the best thing if it exists.
 
"If it exists"
 
I want money i want money
 
Mkuu kwani ni sheria ipi inasema mwenye six packs hapaswi kuwa na six cars..!?

Kwani wenye six packs sio wapambanaji..!?

Na kama sio wapambanaji wewe unadhani walizipata vipi hizo six packs..!?

Mkuu mazoezi ni afya.
anataka kuweka excuse kwa kua na mtumbo mkubwa kama kanda la bagia....hela tunatafuta na ma body mazuri tunayajenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…