Don't go for six packs, go for six cars!

Sijawahi kumwona.

Ntakuwa makini.
Itakua umesahau tu hapa umemlike
Screenshot_20190612-142336-1.jpeg
 
Vipi kuhusu Mada
Wewe unatushauri Nini wadada?

Mimi nina mtoto wa kike, kitu kikubwa ambacho ninatamani kumwona anacho ni yeye kuwa huru kifedha.

Awe na chanzo chake cha fedha, either kazi au mradi ili aweze kujilea na kulea watoto wake.

Swala la nini akitafute kwenye mapenzi ni juu yake, but real love would be the best thing if it exists.
 
"If it exists"
 
Neno langu sio sheria, ila ukiona inafaa na tuipitishe.

Dear ladies, you are not eating shapes, na ya nini uharibu uzuri wako kwa kujipeleka kwa watu wasio wapambanaji??

My number one responsibility should be making sure that I do my best to give you all that you want. Stop stressing yourself up 🤣🤣🤣🤣

"Love yourself first before loving anyone " mmeuskia huo msemo wadada??

Nimeskia mlikuwa na kikao na maazimio yenu ni kwamba eti msichati na mwanamme yoyote ambae hahudumii🤣🤣🤣🤣🤣????

Kumalizia tu ni kwamba "asiyefanya kazi na asile"
I want money i want money
 
Mkuu kwani ni sheria ipi inasema mwenye six packs hapaswi kuwa na six cars..!?

Kwani wenye six packs sio wapambanaji..!?

Na kama sio wapambanaji wewe unadhani walizipata vipi hizo six packs..!?

Mkuu mazoezi ni afya.
anataka kuweka excuse kwa kua na mtumbo mkubwa kama kanda la bagia....hela tunatafuta na ma body mazuri tunayajenga
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom