Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Makubwa haya mbona kwenye hicho kikao sikuepo..
Unakwama sana....
Na sijui anakwama wapi sasaUnakwama sana....
😀😀😀😀😀😀😀😀Waweke mgomo kabisa wachati wenyewe kwa wenyewe
Zitawachosha tu na huwa hazitoi zile protein
Nina wasiwasi Sisi ndio tutaumia at the end of the day. Kuna dildo mjini mkuu
Umejuaje kama nimeelewa? ningekua nimeelewa ningekuuliza? au unaishi kwenye ulimwengu wa hisia na sio uhalisia?Ni typing error, Moderator akitaka ataweka sawa title asipotaka wewe ushaelewa
Hivi si wanasema wakitoa wao inatosha. Muhimu wao hizo nyengine shauri yetuZitawachosha tu na huwa hazitoi zile protein
Mkuu, huku kwetu ni saa moja na dakika kuni na moja za asubuhiUmejuaje kama nimeelewa? ningekua nimeelewa ningekuuliza? au unaishi kwenye ulimwengu wa hisia na sio uhalisia?
Bro, kwani huo ni ubaguzi?? Najaribu kuwasaidia tu dada zetu
Kwa hiyo kukiwa na six packs na six cars ndio panafaa zaidi?? Mimi nilikuwa nawaza when it's a matter of choiceMkuu kwani ni sheria ipi inasema mwenye six packs hapaswi kuwa na six cars..!?
Kwani wenye six packs sio wapambanaji..!?
Na kama sio wapambanaji wewe unadhani walizipata vipi hizo six packs..!?
Mkuu mazoezi ni afya.