Don't go for six packs, go for six cars!

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,962
22,330
Neno langu sio sheria, ila ukiona inafaa na tuipitishe.

Dear ladies, you are not eating shapes, na ya nini uharibu uzuri wako kwa kujipeleka kwa watu wasio wapambanaji??

My number one responsibility should be making sure that I do my best to give you all that you want. Stop stressing yourself up 🤣🤣🤣🤣

"Love yourself first before loving anyone " mmeuskia huo msemo wadada??

Nimeskia mlikuwa na kikao na maazimio yenu ni kwamba eti msichati na mwanamme yoyote ambae hahudumii🤣🤣🤣🤣🤣????

Kumalizia tu ni kwamba "asiyefanya kazi na asile"
 
Mkuu kwani ni sheria ipi inasema mwenye six packs hapaswi kuwa na six cars..!?

Kwani wenye six packs sio wapambanaji..!?

Na kama sio wapambanaji wewe unadhani walizipata vipi hizo six packs..!?

Mkuu mazoezi ni afya.
Kwa hiyo kukiwa na six packs na six cars ndio panafaa zaidi?? Mimi nilikuwa nawaza when it's a matter of choice
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom