Ni kweli lakini namaanisha kwa mtu ambaye ndo kajua tu kuwa sasa nimeukwaa.. Yaani hana tena amani japo anaweza kupata amani sijui unanielewa?Jay 311, Usifanye wenye maambukizi ya ukimwi wajihisi kufa kufa.. Si kweli kwamba ukishapata maambukizi unaona kifo hiki hapa.. Hiyo part ya post yako imekaa kiunyanyapaa...
Unaweza kuwa HIV+ na ukaishi ndoto zako, ukazaa mtoto asiye na maambukizi na maisha yakaendelea.
Being HIV+ NEVER MEANS YOUR DREAMS ARE NO LONGER VALID.
Point yako naipata, tatizo ni kwamba interpretation ya watu inaweza kuwa in a negative way.. Maana huwezi jua nani atapitia uzi wako akiwa katika hali gani.. So ungeweza kubuni namna nzuri ya kuonesha kwamba hiyo ni feeling mtu anapata anapogundua ameukwaa ili kuminimize possible risks za mtu anayesoma uzi wako akiamini ndo kinachotokea pindi ugunduapo umeambukizwa...Ni kweli lakini namaanisha kwa mtu ambaye ndo kajua tu kuwa sasa nimeukwaa.. Yaani hana tena amani japo anaweza kupata amani sijui unanielewa?
Nashkuru... Samahani kama nitakuwa nimewakwaza wenginePoint yako naipata, tatizo ni kwamba interpretation ya watu inaweza kuwa in a negative way.. Maana huwezi jua nani atapitia uzi wako akiwa katika hali gani.. So ungeweza kubuni namna nzuri ya kuonesha kwamba hiyo ni feeling mtu anapata anapogundua ameukwaa ili kuminimize possible risks za mtu anayesoma uzi wako akiamini ndo kinachotokea pindi ugunduapo umeambukizwa...
Plus umeruka part ya counseling wanayopewa na madokta ambayo inasaidia kuepuka hiyo hali ya kutokubaliana na hali halisi.. Badala yake umesema tu ati dk. Anamwambia "pole dada, umeambukizwa HIV"
hapa ndipo patamu huko kwingine STAREHE TUUDakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa, mchovu, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile.
Mimba, HIV+????
HOW??
Hauelewi
Inakuumiza sana, hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.
DON'T BE CHEAP!!!
Dada zetu ndio wanakaliaga moto kila siku. halafu huwa hawajifunzi ya sjui wamepewa nnTeh teh...hapo mdipo unapojua kuwa umeingia choo cha kike au cha kiume... Ni hataree
kwa hali hiiiii tutapoteza wengiWanaoumizwa ndo wanajifunza