Nanukuu "wakenya mnakiswahili kibaya inatakiwa mpewe darasa la kiswahili"- Samia s. Hassan
"Sisi ndio tunakiswahili kibaya ila tunawajibu kwa kiswahili kibaya na watanzania mnatujibu kwa kiingereza kibaya
"- mzungumzaji wa Kenya baada tu ya Samia kumaliza hotuba yake kwenye mkutano wa JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA