Davie S.M
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 748
- 229
Secretariat ya Central committee ya China inaingia kazini kumchagua Xi Jinping..Je China's policy zitakuwa tayari kufat masharti ya US ya kuwa Great Partner ama kutokuja kuwa named as currency manipulator na kuchukua kazi zao on unfair basis...kama alivosema 'aliyekuwa' mgombea wa urais wa US (Romney)