Roger Ramer
Member
- Feb 4, 2017
- 34
- 15
Maana si ileile nduguHivi zinaitwa season au Series!?
Umetisha Mzee..nmeulizia nyama umeleta dagaa[emoji47]Jumba la dhahabu
Ni kinyume chake mkuu, mfano the last ship ina season 4 zote kwa pamoja ndo huitwa seriesOk poa ila kwa ninavyofahamu series ni ule mfululizo wa episodes ambazo kwa ujumla wake ndo inaitwa season