Kama upo dar si ungeenda tu hapo upangaWanajamvi naomba kuuliza he majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na mafunzo kwa vitendo yameshatoka? Kwa sababu TANGAZO linaonesha majina yatawekwa kwenye tovuti ya chuo lakini sijayaona mpaka Leo ili hali ilipaswa yatoke kuanzia tr 1/8 mpaka tr 5/8
Sipo dar kwa sasa, alafu niliomba ya oysterbayKama upo dar si ungeenda tu hapo upanga
Awamu ya kwanza wametoa majina?Write your reply...dah mm pia naisubiria ile awamu y pili kW mikoa mengne ila mpka ssa bdo
Noma sanaBado wazee subirini
Nipo apa Donbosco ila bado wanazngua tu.Wakuu mliopo dar, hamjafuatilia?
Hawasemi liniNipo apa Donbosco ila bado wanazngua tu.
Wanasema kuhusu majibu tufuatilie katika magazeti ya serikali
Donbosco wenyewe wanasema hawajui majibu yanatoka lini.Hawasemi lini
Ok ina maana majina walipeleka serikalini..sawa nimekuelewaDonbosco wenyewe wanasema hawajui majibu yanatoka lini.
Hili swala ni la kiserikali zaidi.