Donald Trump Seven Point Trade Plan

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
D.Trump!
Huyu ndiyo Kiongozi dadadeki, mambo chap chap kama Magufuli (PhD), hakuna kulemba, hakika wa USA wakitaka maendeleo ya maana wamchague D.Trump!

Huyu ndiyo kiboko ya One World Government, anasema ataiondoa USA NAFTA!
 
Mkuu kweli wamarekani kama wana taka raisi shupavu kama Reagan basii huyu jamaa anawafaa sana ila wakitaka mtu wa propaganda na blaah blaah nyingi kma huyu jaluo walio nae sasa basii wakapachike kale kamama waisome namba.
 
Alafu unaweza kunisaidia jinsi ya kudownload uploaded video kwenye JF kama hii kwa kutumia simu??
 
Back
Top Bottom