Donald Trump ni Mwarobaini wa matatizo

Watu kama trump ni wachache sana duniani ivo wamarekani wakimpoteza wasubiri muanguko mkubwa wa taifa lao, we fikiria Syria Russia anafanikiwa kuliko US unategemea nin
 
Donald Trump hayuko kama vyombo vya habari vinavyomsema. Trump ndie chaguo sahihi. Ndie dawa ya matatizo mengi. Ndie dawa ya vyama tawala vinavyotaka kutawala milele amina. Ndo dawa ya mtu anaitwa M7, Nkurunzinza na wadudu wengine warukao na kutambaa.
***
malizia tu ndio dawa ya #znz.
 
Donald Trump hayuko kama vyombo vya habari vinavyomsema. Trump ndie chaguo sahihi. Ndie dawa ya matatizo mengi. Ndie dawa ya vyama tawala vinavyotaka kutawala milele amina. Ndo dawa ya mtu anaitwa M7, Nkurunzinza na wadudu wengine warukao na kutambaa.
Nina mashaka kwanza kama Trump anajua hata kama kuna watu kama M7 au Nkurunziza. Hajawahi kutamka lolote. Ni uzushi umejaa kwenye mitandao ya hapa Afrika.
Pili, wewe unapata habari zake kutoka wapi? Tunaomjua toka siku nyingi na tumemfuatilia tunajua yanayosemwa ni kweli. Lakini kama wewe umeamua tu kwa sababu ulimsikia mtu kijiweni akikuaminisha kwamba Trump wanamuonea, na wewe mwenyewe hujatafuta habari ukajiridhisha kwamba ni kweli au la, basi ujua una mahaba niue.
 
Watu kama trump ni wachache sana duniani ivo wamarekani wakimpoteza wasubiri muanguko mkubwa wa taifa lao, we fikiria Syria Russia anafanikiwa kuliko US unategemea nin
Kwa uwezo gani alio nao Trump? Hivi umewahi hata kumsikiliza akitoa hotuba? Uliwahi kusikia kweli plani za kueleweka? Muone alivyo na mambo ya kitoto:
 
Back
Top Bottom