Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,115
- 143,528
Hivi ni macho yangu tu au hawa jamaa wawili wanafanana? Na sizungumzii kufanana kimwonekano tu...hata kiitikadi na pengine hata ki-mustakabali.
Kwanza hebu angalia nywele zao..😀.
Wote wawili ni wanasiasa wenye itikadi ya mrengo wa kulia.
Wote wawili wanaweza kuja kuwa viongozi wa nchi zao - Johnson inasemekana huenda ndo akaja kuwa waziri mkuu baada ya David Cameron kutangaza kujiuzulu. Trump naye anaweza kabisa kuja kuwa rais wa Marekani baada ya uchaguzi wa Novemba .
Hebu tazama hizi picha....mbona kama wanafana hawa watu...😀