unaeza kuta Hana kabisa.. hawa watu hawaaminiki....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaweza sema ni ME kumbe n KE
unaeza kuta Hana kabisa.. hawa watu hawaaminiki....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaweza sema ni ME kumbe n KE
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanasiasa usiamini hata jinsia yake
Ameshaapishwa?
Wanasiasa sio wa kuaminika kabisa Trust me.
Hakuna cha Ukuta wa Mpakani mwa Mexico,Hakuna Kumpeleka Jela Hillary Clinton,Hakuna kuondoa Obama Care, Haiwezekani kufukuza wahamiaji haramu Mwisho hawajui Isis na Majeshi hawezi Ondosha Afghanstan wala Popote Duniani walipo Wanajeshi wake Muhahahahaha
Vipi kuhusu zile Milion Hamsini kwa kila Kijiji Mkuu... Hivi Dar Inavijiji kweli maana hawatopata...Lazima abadilike kwa sababu "Campaigning is different from Governing"; ma men! Kwenye kampeni unaweza ropoka lolote, unakuwa MC, ukikalia kiti unaanza utetezi kwamba "sitaki kufukua makaburi"! Unapokabiliana na hali halisi unagundua kwamba ile kazi sio lelemama!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanasiasa usiamini hata jinsia yake
Vipi kuhusu zile Milion Hamsini kwa kila Kijiji Mkuu... Hivi Dar Inavijiji kweli maana hawatopata...