Donald Trump ampatia ajira mwanamama mbashara endapo watakubaliana kuhusu mshahara

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,256
16,306
namuangalia donald trump hapa amempatia ajira mwanamama live anafanyiwa interview na amesema kama watakubaliana mshahara anampa kazi wooow



yuko kwenye mahojiano na waandishi wa habari mwanamama kajieleza kaitwa jukwaani kaambiwa akafanye interiew
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom