Donald Trump alimrusha Ghaddafi kiwanja

Kelvin X

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,931
2,367
Wakuu,

Mkiangalia news output nyingi, wanaonesha Donald Trump yupo mbele ya Bush kwenye primaries za kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican. Lakini huyo tajiri alimuibia kiwanja Ghaddafi kilichokua New York, ambapo Ghaddafi alikua akifika US anaweka tent.

Donald Trump alimuuzia Ghaddafi ila Ghaddafi alipofariki, jamaa akakichukua na akajigamba CNN kwamba he is smart. Bora Hillary kuliko huyu jamaa. Msibeze siasa za Marekani, zina affect ulimwengu wote kwa namna fulani.
 
huyo kiboko yake ni yule jamaa wa mexico alitoroka gerezani.

alitoa maneno ya kumsema vibaya,jamaa akamjibu akamwambia ipo siku atajuta kutamka maneno hayo.
trump akakimbilia FBI kuomba protection
 
Wakuu,

Mkiangalia news output nyingi, wanaonesha Donald Trump yupo mbele ya Bush kwenye primaries za kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican. Lakini huyo tajiri alimuibia kiwanja Ghaddafi kilichokua New York, ambapo Ghaddafi alikua akifika US anaweka tent.

Donald Trump alimuuzia Ghaddafi ila Ghaddafi alipofariki, jamaa akakichukua na akajigamba CNN kwamba he is smart. Bora Hillary kuliko huyu jamaa. Msibeze siasa za Marekani, zina affect ulimwengu wote kwa namna fulani.
Unavamiamambo ya watu?tuseme alikosa viwanja kwao Libya?
 
Wakuu,

Mkiangalia news output nyingi, wanaonesha Donald Trump yupo mbele ya Bush kwenye primaries za kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican. Lakini huyo tajiri alimuibia kiwanja Ghaddafi kilichokua New York, ambapo Ghaddafi alikua akifika US anaweka tent.

Donald Trump alimuuzia Ghaddafi ila Ghaddafi alipofariki, jamaa akakichukua na akajigamba CNN kwamba he is smart. Bora Hillary kuliko huyu jamaa. Msibeze siasa za Marekani, zina affect ulimwengu wote kwa namna fulani.
Your wrong .Gadafi Ali pangisha nyumba ya trump.sasa gadaffi akaweka satellite gadafi akafukuzwa .Hotel ZOTE zilimkataa gadafi akawa anataka kulala kwenye tent
 
Samahani nakuomba ufafanue kwa kirefu kidogo.
 
Iyo satelite aliweka wapi

Back
Top Bottom