Hawa ni Maaskofu wawili waanglikana mmoja mstaafu na pia amewahi kuwa kiongozi Wa waanglikana Tanzania huyu ni Askofu Donald mtetemela na sasa ni mjumbe Wa bunge maalumu la katiba. Askofu Valentino Mokiwa yeye ni Askofu Wa Anglikana Jimbo la Dar. Sasa tofauti yao ni kubwa Mtetemela ambaye amewahi kushika bafasi kubwa hivyo kanisani ameonyesha udhaifu hasa alipochangia bungeni kuhusu kauli ya Lipumba alionekana wazi kama ni mtu mwenye mapenzi na CCM japo yeye anasema yupo neutral si kweli. Ccm wamempuuza warioba Mtetemela hakuongea. Kuna matusi yalikua yanaporomoshwa bungeni hakukemea lo! Mwenzake Askofu Mokiwa akiwa anazungumza kwenye ibada ya pasaka hakuwa mnafiki aliponda waziwazi wote walioikejeli na kuidharau tume ya katiba. Huyu ndo kiongozi mathubuti nasubutu kusema.
Pamoja na kuwa na uhuru wa kuzungumza, lakini unatakakiwa kutokuwa manafiki, D. Mtetemela ni msaka tonge amekula kiinua mgongo chakae kimeiisha anatafuta jinsi ya kuishi.Wote wana akili timamu na wana uhuru wa kuzungumza watakayo alimradi hawavunji sheria za nchi