Donald J Trump, ameliagiza shirika la fedha la nchi hiyo kutoa bima kwa bei nafuu kwa biashara zote za baharini, hasa mafuta yanayopitia mlango Bahari

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,359
Reaction score
4,814
1772607004656.png

Rais wa Marekani Donald J Trump, ameliagiza shirika la fedha la nchi hiyo kutoa bima kwa bei nafuu kwa biashara zote za baharini, hasa mafuta yanayopitia mlango Bahari wa Hormuz unaomilikiwa na Iran huku akidai kuwa Marekani itahakikisha mafuta yanafika Duniani kote bila vikwazo.

Trump ameandika:" Kuanzia sasa, nimeagiza Shirika la Fedha la Maendeleo la Marekani (DFC) kutoa kwa bei nafuu sana, bima ya hatari ya kisiasa na dhamana kwa Usalama wa Kifedha kwa Biashara zote za Baharini, hasa Nishati, inayosafiri kupitia Ghuba.

Nafuu hii itapatikana kwa Meli zote za Usafirishaji wa mafuta, na endapo itahitajika, Jeshi la Wanamaji la Marekani litaanza kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango Bahari wa Hormuz, haraka iwezekanavyo.

Haijalishi chochote, Marekani itahakikisha Mtiririko mzuri wa nishati Duniani. NGUVU YA KIUCHUMI na KIJESHI ya Marekani ndiyo KUBWA ZAIDI DUNIANI" amesisitiza Rais wa Marekani DONALD J. TRUMP
 
Nafuu hii itapatikana kwa Meli zote za Usafirishaji wa mafuta, na endapo itahitajika, Jeshi la Wanamaji la Marekani litaanza kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango Bahari wa Hormuz, haraka iwezekanavyo.🥺🤔
 
Tatizo litakuja kwa wafanyakazi wasio na mikataba! jamii za Asian Philippines ikiwa Meli itazama😇😇😇 Trump kanasa kwenye mtego wa Iran kuchomoka hawezi😨😨🤠🤠
 
Yaani kuna watu mnafurahisha Sana.
Trump na nchi yake hapati madhara yoyote kwenye hiyo vita labda wanajeshi wachache watakaokufa.

Mali na pesa zote anazotumia USA ameziiba sio Kodi za Wamarekani.
Wakati Iran inatumia 90% ya nguvu za wananchi wa Iran
 
😄😄
 
Mafuta na gesi za Iran ndizo zitarejesha gharama zote za vita hao mbulukenge wakishapelekwa kwa mabikra wao 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo na wala hiyo haina shida.
 
Kwahiyo wakisindikizwa na Jeshi la USA ndio Iran ataacha kupiga missile!?
 
Yaani kuna watu mnafurahisha Sana.
Trump na nchi yake hapati madhara yoyote kwenye hiyo vita labda wanajeshi wachache watakaokufa.

Mali na pesa zote anazotumia USA ameziiba sio Kodi za Wamarekani.
Wakati Iran inatumia 90% ya nguvu za wananchi wa Iran
Jana nyani ngabu alisema kwamba wese limepanda bei USA unasemaje kwamba hawapati hasara yoyote!? Kaka nawewe umeanza uongo !?

Zile base za USA zilizopigwa kule UAE na baadhi ya mataifa ya kiarabu ile ni faida na sio hasara !?

Kama sio hasara kwanini kakimbilia Cyprus kama sio hasara kwanini alikimbilia Spain na baada ya Spain kukataa Ardhi Yao isitumike na USA katika wakati huu wa vita Trump ameamuru Spain wapigwe sanctions katika mazingira kama hayo unaweza vipi kutaka kutuaminisha kwamba USA haipati hasara ndugu mchambuzi!??
 
Back
Top Bottom