- Thread starter
- #21
mwandiko unatofautiana mfano kuna tofauti gani kati ya 2 000 000/=Aliewekaga hii alama /= HAKUWAGA LIJINGA!.
2 000000 /= na
2000000 /=
Aliyesomea hesabu ndiye anafahamu umuhimu wa hayo mambo lakini utabisha na hata wewe makosa kwa kuandika unayafanya. Je hujawahi mtumia mtu sms ya nitumie 20000 bila kuweka /= au , na ikaisha?