Don´t try this at home.

Sijaelewa.
Khantwe wacha bana! Watoto wanacheza na baba yao.Sehemu ya mchezo ni kuruka toka juu ya sofa na kutua kwenye mwili wa baba, lakini hiyo sehemu mtoto anatua ni nyeti sana kiasi baba anaumia mno lakini anajikaza tu!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaa hilo tu mbona simpo si awasogeze upande wa kushoto ule ili wawe wanafikia kifuani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…