Don,t make a woman cry

You must be very smart on men. Let me hide cause I want my next move to be a suprise. That said.. calm and wait

I was brought up by my Dad.

He did not mince words, He taught us A to Z about men.

Bado sijakutana na mwanamme ambae Baba hakumdefine.
 
Wanawake wengine kulia ndio hobi/tabia zao. Kitu kidogo tu, machozi hayo.
Usiombee umpate demu wa aina hiyo.
 
In that regards. I concur you know something about us.

Labda bado hujakutana na wale wenyeewe wale...hahahahaaa.

But one thing, men are different animals, never underestimate em. hope you were told this also.
Loves you zingiiiiiiiiiiiiiiiii.............
I was brought up by my Dad.

He did not mince words, He taught us A to Z about men.

Bado sijakutana na mwanamme ambae Baba hakumdefine.
 
umeonaeee tuombe sana kwani wengine wanakuliza ukilia ndo umempa nafasi ya kuendelea na mambo yake he dont care may be ulie machozi ya kujaza 1lita shoga angu
yaani wengine ni mabandidu wagumuuuu ukilia ndo anazidi kukufokea
 
Wanawake wengine kulia ndio hobi/tabia zao. Kitu kidogo tu, machozi hayo.
Usiombee umpate demu wa aina hiyo.

Nasikia ni indicator kua wako so innocent
 
hahahahahahaha. So utaniliza kwa furaha ama huzuni?

Utakua unalia kwa furaha...ninapokua na wewe nahisi nimeshiba...(Imba kwa sauti ya mama Mengi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

I never under estimate them. I give them the credit they deserve as fathers, brothers, uncles etc. Who are we without them?

Love you too buddy.
 
Utakua unalia kwa furaha...ninapokua na wewe nahisi nimeshiba...(Imba kwa sauti ya mama Mengi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Kwa furaha haina noma. Furaha ndo utamu wa mapenzi.

Nasinzia nikikuwazaaaa.
 
Hahahahaha kwa sababu kulia ni involuntary action basi ni vigumu kujizuia kulia. Wakati mwingine machozi hutoka tu hata kwenye situation ambayo si ya kulia bali ya kusimama kwa ujasili. Nakumbuka siku flani mwanangu alikua anaumwa kweli na alikua akishindwa hata kula basi hali ile ilinitoa machozi nikajiuliza kwanini natoa machozi namna hii. Kiukweli wakati mwingine ni vigumu kuyazuia machozi .
 
Yeah.. kabisa dadaangu.

Nimi binafsi najiona niko wired tofauti. Nimeshudia mambo mengi magumu ila sikuwahi kulia machozi.

Ukitaka kuniliza machozi ukute nimefanya jambo maishani mwa mtu au kazini au popote tu pale.. kwa kuwa huwa nafanya kama wajibu wangu hata kama sio huwa najibebesha hivyo. Sasa itokee waapreciate au wanisifie... huwa nakuwa mdogo moyoni na machozi yanamwagika. Najisikia kupondeka sana moyoni kwa kuona sistahili ata kimoja Na pia sikutegemea.. kiujumla sipendi kusifiwa na nikishaona naanza kusifiwa kitu lazima niingizie hapo kihoja cha kupotezea au nibishe mwanzo mwisho ili tu wasione machozi yangu.

Ila sasa unikute navyosifia wengine. Napenda sana kuwaambia watu mema na sifa zao kila npoiona. Lakini mi napenda kuambiwa mabaya yangu tu.

Pia nachukia kunyenyekewa na kubembelezwa. Huwa najifikiria hadi nachoka.... But anyway is this happening to some of you guys??

 
Unajua binadamu tunatofautiana sana hivyo si vizuri hata kidogo kugeneralize. Nina rafiki yangu huyo hata akutwe na situationa ya namna gani dada yule huwa hatoi chozi hata kidogo na huwa hata sijui anaweza lizwa na nini. Mimi sasa machozi yangu yako karibu sana hasa ninapoona naonewa, yaani siipendi kabisa hii tabia ya kutoa machozi lkn sina uwezo wa kuzuia. Hapo juzi nilikua nafanya kitu flani sasa kuna software walitakiwa wanipe ili nikamilishe project yangu. Kwa bahati mbaya sikupewa na nikaanza kulaumiwa kwanini sikumaliza kwa wakati si badae machozi hayoooo yakaanza kutoka , ilibidi nijifiche kwanza.
 
Hahahaa.. Mkuu sistahili hio heshima ya Baba ushauri. Hio kofia ni mgawane Wewe, Mr Rocky na Ntunzu tafadhali.
Bantu lady plz come this way, I wanna ruin your lipstick so dearly!!!!!!

Am here, ila team rafiki mwenzako Sungura1980 asikusikie kama umeniambia hivyo oooh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…