G Sam JF-Expert Member Apr 20, 2013 11,555 35,883 Dec 24, 2022 #61 breki sifungi said: uliposema utapigania uhuru wa pili ndo umenifanya nikushushe hadi kiwango cha chini kabisa Click to expand... Ogopa jamaa aliwahi kuandika humu kuwa alinusurika kubanduliwa.
breki sifungi said: uliposema utapigania uhuru wa pili ndo umenifanya nikushushe hadi kiwango cha chini kabisa Click to expand... Ogopa jamaa aliwahi kuandika humu kuwa alinusurika kubanduliwa.
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 49,701 68,719 Dec 24, 2022 #62 Lucha said: Mimi ni wewe kama umekubali basi ntampigia japo kura itakua imepotea na kuingia taifa matatizoni Click to expand... ππππ atakupa uwaziri wa Fedha
Lucha said: Mimi ni wewe kama umekubali basi ntampigia japo kura itakua imepotea na kuingia taifa matatizoni Click to expand... ππππ atakupa uwaziri wa Fedha
Holly Star JF-Expert Member Aug 25, 2018 4,317 8,023 Dec 26, 2022 #63 Ulichoma moto vyeti vyako mkuu huo urais unadhani ubalozi wa nyumba kumi. Afu nakuonaga kama una stresssana mkuu
Ulichoma moto vyeti vyako mkuu huo urais unadhani ubalozi wa nyumba kumi. Afu nakuonaga kama una stresssana mkuu