Don Nalimison: Tamko rasmi la kugombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025

Ahahahahahahahahah! Nipo kwenye Kijiwe cha Kahawa jirani kabisa na shule ulikokuwa unafundisha.

Nimewaonesha andishi lako wenzangu hapa na wanaokufahamu sana, TUMECHEKA HATUNA MBAVU!

ahahahahahahahhaha! Lakini ya Mungu mengi. Huwezi jua! Ahahahahahahahahahahahahahaah!!!!!!!!!!!!
 
Huyu ndie Mtemi Deo Kisandu, alibadili jina na kuwa Don Nalimison baada ya kumaliza kifungo chake June mwaka huu, Mkuu Nalimison Kura yangu tayari unayo, tuombe heri tufike salama 2025

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee, mkuu pambania mambo mengine kuliko kupoteza mda kufikiri mambo ya ajabu, tume ya uchaguzi waunde wao, harafu wewe ushinde?

AJABU.
 
Kavunja sheria muda wa kampeni bado, anyway dishi limefungwa kwenye maua lzm liyumbe.
 
Je waziri mkuu wako atakuea Nani na makamu wako Ni Nani ? First lady tayari anatoka kwa Biden
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom