Diamond hajawahi kutoa wimbo ambao mtu anayefuatilia muziki na kuelewa melody, harmony, arrangement akaukubali.Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.
Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.
Mapenz yana kusumbua, tafadhali usichanganye na kazi dogo. Miko kumi ya Rap GK ft AY
Time hii ongeza meneger mmoja hata babu yako wa Kigoma ili uchanganye ladha fulani. Dunia inataka vitu fulani vitu vya asili mix .
Nilimwambia mke wangu siku moja ule wimbo wako je utanipenda? ndio kaburi lako la mziki usipo kuwa makini.
Nilimwambia kwasababu, kipindi wimbo wako wa kwanza pia nilimwambia utafika mbali na kweli umefika.
Hapo ulipo unaweza kufanya makubwa bila kushirikisha msanii wa Ulaya, tuliza akili lasivyo utapotea bro.
Kuwa makini sana, am your brother na Nakupenda sana, japo nakula sana misumari moto.
Ndio wisho wa ngoma, kama waswahili wasemavyo, ikivumaaa utasikiaaaa....paaaaaaa!!Mkuu, Domondi amefika mwisho. Hakuna mwanamuziki aliyeurudia kuuimba wimbo wa mwanamuziki mwingine aliyebaki salama. Domondi amepoteza ubunifu, mvuto na ubora. Ameshagota!
wanaume tumebaki wachache sana....Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.
Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.
Mapenz yana kusumbua, tafadhali usichanganye na kazi dogo. Miko kumi ya Rap GK ft AY
Time hii ongeza meneger mmoja hata babu yako wa Kigoma ili uchanganye ladha fulani. Dunia inataka vitu fulani vitu vya asili mix .
Nilimwambia mke wangu siku moja ule wimbo wako je utanipenda? ndio kaburi lako la mziki usipo kuwa makini.
Nilimwambia kwasababu, kipindi wimbo wako wa kwanza pia nilimwambia utafika mbali na kweli umefika.
Hapo ulipo unaweza kufanya makubwa bila kushirikisha msanii wa Ulaya, tuliza akili lasivyo utapotea bro.
Kuwa makini sana, am your brother na Nakupenda sana, japo nakula sana misumari moto.
Ni wimbo mmoja tu ninaweza kusema Kiba aliimba kweli "sindelela" .Diamond hajawahi kutoa wimbo ambao mtu anayefuatilia muziki na kuelewa melody, harmony, arrangement akaukubali.
Anapata marks za effort ya kubana pua na kupangilia mashairi nusu.
Mpaka leo sijaelewa mass appeal yake ni nini zaidi ya kujua kujipiga promo tu.
Siku zote nimekuwa nikimkubali Ali Kiba kuliko Diamond.
Diamond hajawahi kuachia ngoma kama Aje au School Baby
Hebu sikiliza ngoma zinavyopigwa, gita linavyolia, na Kiba anavyonung'unika (hata kama hana deep lyrics, Kiba anafunika)
Diamond hajawahi kutoa wimbo uliofikia hizi mbili. Basi tu Kiba hajui promo.
Ali Kiba "School Baby"
Ali Kiba ft M.I "Aje"
Kwa Muha? Asikudanganye mtu....wale kwao kila kitu ni matunguli hata kunywa chai lazima waanze kuliomba tunguli kwanza. Watu wa Kigoma, Mbeya, Rukwa, Tabora, ni habari ingine kabisa na ndiyo maana mikoa yao haina kitu.[/QUOT
ππππNyie endeleeni kukosoa mm naenjoy sana. Yaani hapa nipo kazini lakini huwa nikiwa free ofisini napata flevor za Diamond. Mnatoa kasoro za kishabiki tu. Diamond anajua sana . We mtoa mada leta nyimbo yako tufaidi au unakesha kulalamika kama kakuambia usikize na upende nyimbo zake.
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
umewahi kuona fimbo na kofia ya papa(pope) ina alama gani?wadau hii misalaba inayojulikana kama ankh kama waliovaa ao wasanii sio misalaba ya kikristo...So basically nlikua nataka kujua ina maana gani coz nmeiona sana kwny ancient picha za Egypt ...
Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
We Mangi tafuta hela tupige.Ni wimbo mmoja tu ninaweza kusema Kiba aliimba kweli "sindelela" .
Lkn mimi mpk kesho bado nikisikiliza Q-chila, Marlow, MB dog wa enzi zile bado sion km Mondi au Kiba anaweza fikia levo zile.
Nyimbo inaimbwa unani feel yan
wakili feki dizaini ya MsandoMkuu, Domondi amefika mwisho. Hakuna mwanamuziki aliyeurudia kuuimba wimbo wa mwanamuziki mwingine aliyebaki salama. Domondi amepoteza ubunifu, mvuto na ubora. Ameshagota!
wadau hii misalaba inayojulikana kama ankh kama waliovaa ao wasanii sio misalaba ya kikristo...So basically nlikua nataka kujua ina maana gani coz nmeiona sana kwny ancient picha za Egypt ...
Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app