kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Hivi Uchawi upo kweli??Yaani unamwambia Muha amshirikishe babu kwenye gemu? Waha mambo ya asili ni jadi yao, Muha hawezi fanya kitu bila kuhusisha matunguli toka kwa babu yaani hata kuoga tu lazima atatanguliza matunguli mbele kwanza. Kama alipata matunguli yalikuwa kwa muda tu na ndiyo maana sasa anaanza kuuza karanga kwa sababu alishashitukia upepo unabadirika.
Yaani unamwambia Muha amshirikishe babu kwenye gemu? Waha mambo ya asili ni jadi yao, Muha hawezi fanya kitu bila kuhusisha matunguli toka kwa babu yaani hata kuoga tu lazima atatanguliza matunguli mbele kwanza. Kama alipata matunguli yalikuwa kwa muda tu na ndiyo maana sasa anaanza kuuza karanga kwa sababu alishashitukia upepo unabadirika.
Hivi Uchawi upo kweli??
Nauliza tena, Uchawi upo kweli???????
Ni ujinga kuandika generalization kama hii......Yaani unamwambia Muha amshirikishe babu kwenye gemu? Waha mambo ya asili ni jadi yao, Muha hawezi fanya kitu bila kuhusisha matunguli toka kwa babu yaani hata kuoga tu lazima atatanguliza matunguli mbele kwanza. Kama alipata matunguli yalikuwa kwa muda tu na ndiyo maana sasa anaanza kuuza karanga kwa sababu alishashitukia upepo unabadirika.
Kwa Muha? Asikudanganye mtu....wale kwao kila kitu ni matunguli hata kunywa chai lazima waanze kuliomba tunguli kwanza. Watu wa Kigoma, Mbeya, Rukwa, Tabora, ni habari ingine kabisa na ndiyo maana mikoa yao haina kitu.
Team domo sijawaona hakika mtoa mada ukitoka salama bahati yako
video ya Bora Nikae Kimya inatoka lini??
Ni kweli Kuna creativity fulani imepotea kwenye nyimbo za Dayamondi ila sio kweli kwamba uki-sample wimbo wa mtu Basi Ndo mwisho wako. FA alisample Yalaiti aliisha? US nyimbo nyingi ni sampling mbona wasanii bado wapo.Mkuu, Domondi amefika mwisho. Hakuna mwanamuziki aliyeurudia kuuimba wimbo wa mwanamuziki mwingine aliyebaki salama. Domondi amepoteza ubunifu, mvuto na ubora. Ameshagota!
Mkuu, Domondi kaisha. Wewe endelea kumfagilia, mimi naendelea kusema kweli.Ni kweli Kuna creativity fulani imepotea kwenye nyimbo za Dayamondi ila sio kweli kwamba uki-sample wimbo wa mtu Basi Ndo mwisho wako. FA alisample Yalaiti aliisha? US nyimbo nyingi ni sampling mbona wasanii bado wapo.
Tatizo la Dayamondi ni producer wake, huyu Bwana mdogo ni wa kufanyia production wasanii wadogo sio Dayamondi. Hana creativity yakutosha na ana elements zile zile kwenye productions zake zote hasa matarumbeta.
Kuporomoka kwa Dayamondi sio Jambo la kufurahia hata Kidogo jamaa katutoa Kimasomaso kimataifa. Mkosoe kwa kumjenga. Punguza uteam naona unamponda Dayamondi vehemently kwenye kila post kama kakuibia mke
Nani ambae hajaisha?Mkuu, Domondi kaisha. Wewe endelea kumfagilia, mimi naendelea kusema kweli.
WeweNani ambae hajaisha?